Wakala wa Vipimo na Mizani (WMA) ni Wakala Mtendaji chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara, ulioanzishwa mwaka 2002 chini ya Sheria ya Mawakala Watendaji, Sura ya 245. Uanzishwaji wake ulikuwa sehemu ya Programu ya Mageuzi ya Utumishi wa Umma (PSRP II), iliyolenga kuboresha ufanisi na uwezo wa utoaji wa huduma za umma.
Wakalanhutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria ya Vipimo na Mizani, Sura ya 340. Kama sehemu ya dhamira yake ya kusaidia maendeleo ya kitaaluma na kuwapa wahitimu wachanga uzoefu wa vitendo mahali pa kazi, WMA inawaalika wahitimu wa Kitanzania waliohitimu, wenye uwezo, motisha, na bidii kuomba nafasi tisa (9) za kujitolea kwa kipindi cha miezi kumi na miwili (12) katika kada mbalimbali kama inavyoonyeshwa hapa chini:
Nafasi za Kujitolea Wakala wa Vipimo
TUMA MAOMBI HAPA








Leave a Reply