Nafasi za Kazi Utumishi 24/10/2026

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP kwa Nafasi Mpya za Kazi, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi, Matokeo ya Usaili, Walioitwa kazini Utumishi na Matangazo ya Ajira kila Siku Kutoka Utumishi, Ajira Portal, Taasisi Mbalimbali na Interships.

Kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) na Taasisi ya Usafiri wa Baharini Dar es Salaam (DMI), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki, weledi wa hali ya juu, uadilifu, uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea, ari ya kufikia matokeo bora na wanaokidhi vigezo vinavyohitajika kuomba kujaza nafasi za kazi kumi na tisa (19) zilizo wazi kama zilivyoainishwa hapa chini.

Nafasi za Kazi Utumishi 24/10/2026

TAZAMA HAPA

WhatsApp Channel Join Now!