Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP kwa Nafasi Mpya za Kazi, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi, Matokeo ya Usaili, Walioitwa kazini Utumishi na Matangazo ya Ajira kila Siku Kutoka Utumishi, Ajira Portal, Taasisi Mbalimbali na Interships.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mkurugenzi wa
Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma, anakaribisha maombi ya nafasi ya kuhamia kutoka kwa Watanzania
ndani ya Utumishi wa Umma wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi moja (01) ya kuhamia
kama ilivyoainishwa hapa chini:
Nafasi za Kazi za Kuhamia Utumishi
TUMA MAOMBI HAPA








Leave a Reply