Nafasi 10 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP kwa Nafasi Mpya za Kazi, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi, Matokeo ya Usaili, Walioitwa kazini Utumishi na Matangazo ya Ajira kila Siku Kutoka Utumishi, Ajira Portal, Taasisi Mbalimbali na Interships.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi anawatangazia na kuwakaribisha Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi 10 zilizoidhinishwa baada ya kupokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao;

Nafasi 10 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

TUMA MAOMBI HAPA

WhatsApp Channel Join Now!