Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP kwa Nafasi Mpya za Kazi, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi, Matokeo ya Usaili, Walioitwa kazini Utumishi na Matangazo ya Ajira kila Siku Kutoka Utumishi, Ajira Portal, Taasisi Mbalimbali na Interships.
Kwa niaba ya Shule ya Sheria ya Tanzania (LST) na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki, weledi wa kiwango cha juu, wanaojituma, wenye uadilifu, wenye mtazamo wa kuleta matokeo, na wenye uwezo wa kukabiliana na mabadiliko, kuomba nafasi nne (4) za kazi zilizo wazi kama ilivyoainishwa hapa chini;
Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma 29/10/2026
TAZAMA HAPA








Leave a Reply