Walioitwa Kazini Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) 21/09/2026

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP kwa Nafasi Mpya za Kazi, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi, Matokeo ya Usaili, Walioitwa kazini Utumishi na Matangazo ya Ajira kila Siku Kutoka Utumishi, Ajira Portal, Taasisi Mbalimbali na Interships.

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za (mkataba) zilizotangazwa tarehe 09 Februari, 2026 ambao waliofanya usaili wa kuandika tarehe 16 Septemba, 2026 na usaili wa mahojiano tarehe 17 Septemba, 2026 katika Kampasi Kuu ya Dar es Salaam kuwa, matokeo ya waombaji waliofaulu usaili huo na kupangiwa nafasi za kujitolea ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa nafasi za kujitolea wanatakiwa kuripoti kwa Mkuu wa Chuo, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Kampasi Kuu ya Dar es Salaam, ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea, cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Taifa kwa ajili ya uhakiki.

Walioitwa Kazini Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) 21/09/2026

TAZAMA MAJINA HAPA

WhatsApp Channel Join Now!