Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP kwa Nafasi Mpya za Kazi, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi, Matokeo ya Usaili, Walioitwa kazini Utumishi na Matangazo ya Ajira kila Siku Kutoka Utumishi, Ajira Portal, Taasisi Mbalimbali na Interships.
Kwa niaba ya Tanzania Institute of Accountancy (TIA), The Institute of Finance Management (IFM), Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC), Institute of Rural Development Planning (IRDP), College of Business Education (CBE), Tanzania Wildlife Research Institute (TAWIRI) na Institute of Accountancy Arusha (IAA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki, weledi wa hali ya juu, wanaojituma, wenye uadilifu, wabunifu na wanaolenga matokeo, kutuma maombi ya kujaza nafasi arobaini na moja (41) za kazi zilizo wazi kama ilivyoainishwa hapa chini;
Nafasi za Kazi Taasisi Mbambali za Umma 21/10/2026
TUMA MAOMBI HAPA








Leave a Reply