MAJINA ya Walioitwa Kazini Wakala wa Vipimo

Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP kwa Nafasi Mpya za Kazi, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi, Matokeo ya Usaili, Walioitwa kazini Utumishi na Matangazo ya Ajira kila Siku Kutoka Utumishi, Ajira Portal, Taasisi Mbalimbali na Interships.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za kujitolea waliofanya usaili tarehe 07-08-2026 kuwa matokeo ya waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika ofisi za Wakala wa Vipimo Makao Makuu-Dodoma tarehe 25 Septemba, 2026.

MUHIMU:

Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

WhatsApp Channel Join Now!