Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24 Septemba, 2026 hadi tarehe 25 Septemba, 2026 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Aidha, Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tarehe 01 hadi 03 Novemba, 2026 kuanzia saa tatu kamili asubuhi wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili, ili zihakikiwe kabla ya kupewa barua ya ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa. Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:
Majina ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS)
TAZAMA HAPA








Leave a Reply